Monday, April 13, 2015

WADAU NAOMBA MUWATAZAME HAWA WAIMBAJIJamani wadau wa muziki wa injili hapa Bongo naomba muwasapoti hawa waimbaji ambao ni vijana naamini watafika mbali sana coz they are talented pia wanajitambua ninaaminia wakipata sapoti za kutosha watafika mbali sana na watapeperusha bendera ya Yesu kupitia vipaji vyao
1.Bomby Johnson
2.Hugo Thegentlemen
3.Crispin Challe
4.Eka Injili
5.Gazuko (myself)
6.Filipo Rupia
7.Anania Mwasomola
8.Goodluck Gozbert
9.Angel Benald
10.Paul Clement na wengne
Naomba kama wewe ni blogger/presenter/producer/dj/promota/mdau wa nguvu jaribu kuboost hawa vijana asante kwa wote wanaotusapoti ila yote kwa yote natamani sana kuona nguvu kubwa inawekwa kwa Bomby Johnson huyu jamaa ni Genious aiseee